Adverts

Feb 12, 2011

Mashine za kukamua matunda zina soko Tanzania?

Mashine za kukamua matunda zina soko Tanzania?: "
wandugu, naomba kuuliza kama mtu anataka kufanya biashara ya kuagiza na kuuza mashine za kukamua matunda, kuprocess mboga za majani, na kuprocess maziwa lakini katika small and medium scale atapata biashara? Kama atapata ni maeneo gani ya nchi? Nashukuru kwa maoni yenu
"