Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola -CPA, Mh. Alan Hazlehurst (kushoto), ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma, Februari 9,201. Katikati ni balozi wa Uingereza nchini, Diana Corner.
(Picha Ofisi ya Waziri Mkuu na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo)
Mbunge wa Monduli Edward Lowasa (kulia ) na Naibu Waziri wa Afya Dr. Lucy Nkya wakibadilishana mawazo leo Bundeni Dodoma
Baadhi ya maafisa wa serikali na taasisi zake wakiwa katika ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma |
Baabhi ya wabunge wa Kambi ya Upinzani wakipanga mikakati kabla ya kluanza vikao leo mjini Dodoma |