Adverts

Feb 2, 2011

Mbowe aiongezea mtaji Free media Saccos.

Mbowe aiongezea mtaji Free media Saccos.: "Mwenyekiti wa makampuni ya Bilicanas Co.Group na Freemedia Ltd, Freeman Mbowe, ameahidi kutoa mtaji wa kutosha kwa kila mfanyakazi kwa ajili ya uanzishwaji wa “Freemedia Saccos” inayolenga kutoa fursa zaidi za mikopo kwa wafanyakazi wa kampuni hizo. Mbowe aliyasema hayo usiku wa kuamkia jana wakati..."