Adverts

Feb 22, 2011

McGhee family

Oprah Winfrey kama kawaida yake akiona kitu lazima akifuatilie na kukiweka karibu na watu wengine,na ndipo alipopata picha ya McGhee family toka kwenye facebook na kuona ina thamani ya wengi kuiona na kuweza pata uzoefu wa watoto sita kwa mpigo inakuwaje,kama kawaida yake mama huyu akiwa na furaha moyo, pesa kwake sio kitu cha kusumbua akamwaga mpunga kwa familia hiyo. kwa habari zaidigonga hapa
"