Adverts

Feb 27, 2011

Mchina na bibi wa kihehe

Mchina mmoja alionja joto ya jiwe pale kwa bahati mbaya alipomwaga maharagwe ya bibi wa kihehe huko maeneo ya njombe iringa, mchina huyo baada ya kumwaga maharagwe hayo akawa anamwambia yule bibi,"SORRY,SORRY BIBI...SORRY" yule bibi akamaka we mchina unaniambia sore wakati wakati we ndo umemwaga maharagwe yangu,mshenzi sana wewe ndio usore! MCHINA AKAMAKA,AKARUDIA TENA SORRY BIBI,bibi akaingia ndani kuchukua panga.....kilichofatia mimi nilikuwa nishaondoka kuogopa ushaidi N.B neno sore kwa kihehe linamaanisha "OKOTA"
"