Adverts

Feb 2, 2011

msumbiji kumkumbuka hayati rais samora machel

msumbiji kumkumbuka hayati rais samora machel: "
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Bw. Amour Zacarias Kupela (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya Mashujaa na siku ya kumuenzi muasisi wa taifa hilo Samora Machel's leo jijini Dar es salaam.Kushoto ni mshauri wa Ubalozi wa Msumbiji nchini Jacinto Maguni.
"