Adverts

Feb 25, 2011

Mungu asipotaka hutwaliwi!!!

Wakuu kutwaliwa ni mapenzi ya Mungu, asipotaka hutwaliwi!! Ona kijana alivyopona kuliwa na simba gari. Grrrr Wacha Mungu aitwe Mungu.
"