Adverts

Feb 9, 2011

mwenyekiti wa chadema na naibu spika waongelea mstakabali wa kambi ya upinzani bungeni leo (part 1)

mwenyekiti wa chadema na naibu spika waongelea mstakabali wa kambi ya upinzani bungeni leo (part 1): "
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai wakizungumzia mustakabali wa kambi ya upinzani Bungeni katika kipindi cha asubuhi cha TBC 1 leo katika kufafanua kilichojiri jana wakati wabunge wa CHADEMA walitoka nje ya ukumbi wa bunge kwa muda kupinga upigaji wa kura kuidhinisha marekebisho ya kanuni kinyume na matakwa yao.
"