Adverts

Feb 26, 2011

NCHI YA AHADI MAKETE!

Hapo panaitwa Ikonda ni mji mdogo wenye hospitali inayoheshimika ndani na nje ya nchi kutokana na huduma zake za kuaminika. Makete kwa uoto wake inaashiria kuwa ni nchi ya ahadi