Adverts

Feb 12, 2011

PINDA AKICHATI NA WABUNGE

PINDA AKICHATI NA WABUNGE: "
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Grace Kiwelu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 10, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kisalimiana na Mbune wa Kisesa, Luhaga Mpina (kushoto) na Mbunge wa VIti Maalum, Mary Mwanjelwa (wapili kushoto) kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Februari 10, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Tundu Lissu na dewji Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, undul Lissu (kusoto) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini, Mohamed Dewji ja kwenye viwanja vya bunge mjni Dodoma.
"