Adverts

Feb 12, 2011

Raisi Obama aachana na Uvutaji fegi........!

Raisi Obama aachana na Uvutaji fegi........!: "
Raisi Obama ameonekana kutogusa sigara tangu January 20 mwaka jana. ameongea mkewe Michelle Obama huku akiwa mwenye furaha sana! Obama amekuwa mtumwa wa sigara kwa takribani miaka 30 iliyopita.
"