Sehemu ya barabara ya Lami iliyojengwa katika maeneo korofi wilayani Makete, hii inawafanya wanachi sasa kuanza kuonja matunda ya uhuru baada ya miaka karibu 50 ya uhuru bila kuona lami.
Kona ya Kifungilo ambayo ni balaa pale mvua zikinyesha, lakini sasa baada ya ujenzi huu watu wanapeta ile ile