Adverts

Feb 25, 2011

Siri nyingi zitavuja mwaka huu-Sheikhe Yahya

Siri nyingi zitavuja mwaka huu-Sheikhe Yahya: "MTABIRI maarufu katika Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, ametabiri kuwa mwaka huu ni wa kuvuja kwa siri nyingi za serikali na anguko kwa serikali zisizotekeleza ahadi zake kwa wananchi duniani.Katika utabiri huo, Sheikh Yahya pia alisema kutokana na sayari ya Jupita kuingia katika nyota ya ng'ombe ifikapo Juni mwaka huu, watu watadai haki kwa nguvu na wataungana kupinga serikali na"