Adverts

Feb 10, 2011

tamasha la sauti za busara 2011 ni raha tupu

tamasha la sauti za busara 2011 ni raha tupu: "
Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara,Yusuf Mahmoud akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Tamasha hilo usiku huu katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.Makamu Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti Za Busara,Simai Said akitambulisha baadhi ya wadau wakuu walioweza kufanikisha Tamasha hilo kwa mwaka huu wa 2011 katika viwanja vya Ngome Kongwe usiku huu.Bendi ya Percussion Discussion Africa kutoka nchini Uganda ikitumbuziza usiku huu katika Tamasha la Sauti Za Busara 2011 ndani ya viwanja vya Ngome Kongwe,Visiwani Zanzibar.Kikundi cha Ngoma cha Wanyambukwa kutoka Mkoani Dodoma,Tanzania kikitumbuza moja ya nyimbo zao za asili ya Kigogo.
Vijana wa Jahazi Modern Taarab,wakikirudi Kiduku kwa staili ya aina yake wakati wa muendelezo wa Tamasha la Sauti Za Busara 2011 usiku huu ndani ya viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.
Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA au BOFYA HAPA
"