Adverts

Feb 2, 2011

(title unknown)

(title unknown): "
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA NCHINI (LAW DAY) MWAKA 2011 MAHAKAMA YA TANZANIA INATARAJIA KUADHIMISHA SIKU YA SHERIA (LAW DAY) NCHINI MNAMO TAREHE 02.02.2011. SHEREHE HIZI AMBAZO ZINAADHIMISHWA NA MAHAKAMA NCHI NZIMA ZINAASHIRIA MWANZO WA SHUGHULI ZA MAHAKAMA MWAKA 2011 MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI, ANAPENDA KUWATAARIFU WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA NA WANANCHI WOTE KWA UJUMLA KUWA KAULI MBIU YA SHEREHE ZA MWAKA HUU NI: “UMUHIMU WA ELIMU KUHUSU MAHAKAMA KAMA HATUA YA MSINGI YA UTATUZI WA MGOGORO KATIKA JAMII.” MGENI RASMI ANATARAJIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE. KWA HAPA DAR ES SALAAM SHEREHE HIZO ZITAADHIMISHWA MBELE YA JENGO LA MAHAKAMA KUU (KIVUKONI FRONT) SAA 02:00 ASUBUHI.
"