Adverts

Feb 19, 2011

UNAWEZA KUFANYA CHOCHOTE KUWEZESHA MAISHA YA WATOTO HAWA

HIKI NI KITUO CHA WATOTO YATIMA BULONGWA WILAYANI MAKETE, picha ilichukuliwa asubuhi wakiwa katik mariwato! chochote unaweza kukifanya kuwawezesha watoto hao na future yao iwe njema na ya matumaini!