Adverts

Feb 2, 2011

UWT Wilaya ya Mbeya Mjini waadhimisho miaka 34 ya kuzaliwa kwa CCM

UWT Wilaya ya Mbeya Mjini waadhimisho miaka 34 ya kuzaliwa kwa CCM: "
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Mbeya Mjini,Bi. Shizza Mwakatundu akiwahutubia wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka katika kata 36 za wilaya hiyo waliohudhuria hafla ya kuadhimishwa kwa miaka 34 ya kuzaliwa kwa CCM,yaliyofanyika mchana wa leo katika kata ya Ilemi,tawi la Mapelele mkoani Mbeya.
Baadhi wa wakina mama wa UWT wilaya ya Mbeya Mjini wakiburudika na muziki katika hafla hiyo.
"