Waziri Ghasia alia na uvujaji wa siri za serikali.: "Na Fatma Gaffus,Dodoma. Serikali imesema kuwa tathmini iliyoifanya mwaka 2010 kuhusu hali ya kumbukumbu na nyaraka za Taifa imebaini kuwa eneo hilo limekuwa na changamoto mbalimbali ambazo ni pamoja na uvujaji wa siri za serikali ,utunzaji wa kumbukumbu usioridhisha na uelewa mdogo wa taratibu..."