Waziri wa Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi(kati) akiongea na waandishi wa Habari mjini Dodoma jana usiku kwenye hafla aliowaandalia waandishi waliopo Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge.(kulia) Mbunge wa Kondoa Juma Nkamia ,a Mwengine ni Mkurugenzi wa MAELEZO Clement Mshana.
Mbunge wa Kondoa Juma Nkamia (kulia) akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali waliopo mjini Dodoma kuandika habari za Bunge,jana usiku katika hafla iliyoandaliwa na Waziri wa Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi (katikati) na (shoto) Mkurugenzi Wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dr.Emmanuel Nchimbi (hayupo pichani)jana katika hafla jana usiku mjini Dodoma.
"