Adverts

Feb 2, 2011

WEAZEL TV AMCHANA KAKA YAKE CHAMELEONE LIVE!

WEAZEL TV AMCHANA KAKA YAKE CHAMELEONE LIVE!: "
Douglas Mayanja aka Weasel TV toka Gudlyf,amemchana kaka yake wa damu,Joseph Mayanja aka Josee Chameleone toka Uganda mbele ya waandishi wa habari aliyowaita nyumbani kwake pande za Makindye,kuwa alimbaka demu wake na kumfukuza kwenye nyumba yake aliyokua anaishi alipokua kwenye Label yake ya Chameleone,Leone Island na kusema kuwa yeye anawalea watoto 3 wa Chameleone aliozaa na wanawake watatu tofauti...duuh!
"