Adverts

Feb 2, 2011

Wezi wa maembe!!!

Wezi wa maembe!!!: "
Jamaa wawili waliiba embe kiroba kizima wakakimbilia mochwari bila kujua, wakati wanaingia wakaangusha embe 2 mlangoni, mlinzi hakuwaona alilala aliposhtuka akasikia jamaa wanagawana " hii yako hii yangu", mlinzi akakimbilia kumwita doctor "njoo usikie malaika na shetani wanagawana maiti", walipofika tu mlangoni, wakasikia "na zile mbili tulizoacha mlangoni?" doctor na mlinzi mbioo!.......................LOL
"