Mheshimiwa Allassane Ouattarra akiwasili katika ukumbi wa mikutano uliopo katika makao makuu ya umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano maalumu wa Umoja wa Afrika kuhusu suluhu ya mgogoro wa kisiasa wa Ivory Coast.Hata hivyo hasimu wake kisiasa Laurent Gbagbo hakuja jijini Addis(Picha: Freddy Maro)
"