Adverts

Mar 18, 2011

kampuni ya pikipiki ya fekoni yapewa cheti cha ubora toka TBS

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ubora wa Viwango nchini (TBS),Bw. Charles Ekelege akimkabidhi cheti cha ubora wa viwango Mkurugenzi wa Kampuni ya Fekoni Motorcycle,Bw. Andowy Guo wakati wa hafla fupi iliyofanyika mchana wa leo katika makao makuu ya shirika hilo,Ubungo jijini Dar.
Warembo wakiwa wamekaa juu pikipiki zinazotengenezwa na kampuni ya Fekoni.
"