Take twoo!!!! actiooon, nk ndivyo ilivyokuwa wakati wa kutengeneza documentary ya hali ya huduma kwa watu wanaoishi na magonjwa ya kusendeka wilayani mbozi . Ni kampuni ya Matatizo ya bwana David Kyungu
Mpiga picha wa kampuni ya Matatizo aliondoa matatizo kwa kutafuta piece to camera!!!!
Sound technician ambaye ndiye mkurugenzi wa kampuni hiyo David Kyungu akifuatilia mazungumzo kati ya Mtoa huduma majumbani kupitia shirika la SHIDEPHA bwana Loyd Nzowa na mgonjwa anayepata huduma kupitia mpango huo wa huduma za wagonjwa majumbani wilayani Mbozi.