Adverts

Mar 3, 2011

KONTENA LINA NAFASI YA MIZIGO KUELEKEA NYUMBANI!

Tangazo kwa wote ambao wanapendelea kupeleka vitu vyao nyumbani Tanzania Zanzibar kutakuwa na Kontena ambalo liko Canton Ohio, lina nafasi ya kupakia mabegi, box na vitu mbali mbali kwa bei, nafuu tarehe ya mwesho ya kopokea mizigo hiyo ni Mach 11/2011.
Ili mzigo umfike aliekusudiwa tutaomba number ya simu yake, kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdallah Omar (Kiduka Rasta) Namba ya simu ni (330)313-4979 Email: kiduka2002@yahoo.com.
"