Mar 3, 2011
Mbunge Deo Filikunjoombe Aanza Kutekeleza Ahadi
1. Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe
2..Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo FIlikunjombe akimsukuma mzee mwenye ulemavu VICTOR MGANGA ambaye amemkabidhi ahadi yake ya baiskeli kama alivyopata kutoa ahadi yake wakati wa kampeni kwa kuwajali walemavu waliopo wilayani hapo,hii ni sehemu ya ahadi ambayo binafsi ambazo alizitoa
3.Bw. NICHOLAUS PIUS MWINUKA ambaye ni Mmoja kati ya walemavu wawili waliopatiwa msaada huo katika ukumbi wa Halmashauri jioni hii
Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe pichani ameanza kutekeleza ahadi binafsi alizozitoa wakati wa kampeni kwa watu wenye ulemavu na kusomesha watoto ,leo ameomba majina ya watoto 20 yatima ambao wanauwezo wa kuendelea na masomo ili kusoma pia akabidhi baiskeli kwa walemavu wawili kama alivyowaahidi wakati wa kampeni,ataka vijana wa Ludewa ambao wamekimbia wilaya baada ya kupata elimu kurudi kuendeleza wilaya yao,
Asema kuwa vi vizuri wakazi wa Ludewa kujenga utamaduni wa kujenga nyumba za kisasa katika wilaya ya Ludewa na kuwavutia wageni zaidi wanaotaka kuja kufanya kazi Ludewa Picha, Mdau wa Iringa"