Adverts

Mar 2, 2011

MBUNGE WA MAKETE APITA BILA KUPINGWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA BARABARA IRINGA

Dr Mahenge akishukuru kwa kupitishwa kwa kura za kishindo kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya barabara mkoa wa Iringa
Mbunge wa Makete Dr .Binilith Mahenga akiwashukuru wajumbe kwa kumchagua kwa kura zote kuwa makamu mwenyekiti wa bodi kwa kumrejesha kwa mara ya pili kuongoza nafasi hiyo ,kulia ni Spika wa bunge Anne Makinda na kushoto kaimu mkuu wa mkoa Issa Machimbya ambaye ni mwenyekiti wa kikao hicho
"