Adverts

Mar 8, 2011

MZEE SISI KWA SISI KAMA KAWAIDA YAKE ENEO LA IDOFI NDIYO KITUO CHAKE

Ana mashairi huyo!!!!!! utasikia kababu za kyela, zimeungwa na nannihiiiii mmmmh mzee huyu balaa na bidhaa zake zinapendwa sana kwenye mabasi ya Mbeya- Dar, hilo ndilo eneo la kuchimba dawa ambapo wameweka meza kwaajili ya bidhaa zao