Helikopta ikitua katika uwanja ulio jirani na nyumbani kwa Mchungaji Ambilikile Mawsapile, kijijini Samunge, jana. Mfanyabiashara Hans Macha, alikodi Helikopta hiyo kwa ajili ya kuipeleka familia yake, akiwamo Mama yake mzazi. Picha na Muhidin Sufiani