Nimeukumbuka ule wimbo wa Juma Kakele -safari
" mpenzi unaondoka ......mawazo mawazo mawazo, ukiwa ukiwa ukiwa.....
habari za nyumbani mamaaa, waoneje wazazi nyumbani, tangu ulipokwenda kwenda kuwaona, kwani ni siku nyingi hatuna habari nawe pole sana mama kwa safari bibie.....