Adverts

Mar 10, 2011

SISI WATOTO TUNASHIRIKISHWAJE KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA MAPATO YA KAYA?

Pamoja na kutumikishwa hivi je watoto wanapata fulsa ya kutoa mchango wa namna gani raslimali na mapato yanayotokana na mchango wao yatumike katika kaya?

 Ndiyo nimeshiriki hatua zote za uzalishaji bila kujali kama kulikuwa na mvua ama jua! lakini nashiriki vipi kupanga vipaumbele vya matumizi ya mapato yatokanayo na jasho langu shambani? Je huko mjini nyie mnautaratibu wa kuwashirikisha watu kama hawa?