Spika Makinda akizungumza na watanzania wanaofanyakazi nchini Liberiana kuwahimiza kuendelea kuijengea Tanzania heshima bila kusahau kurudi nyumbani Tanzania.
4. Akina mama waishio Liberia wakimpongeza Mama Anne Makinda kwa kuwa mwanamke wa kwanza katika historia ya Tanzania kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge
"