Mkuu wa wilaya ya Ilala Leonidas Gama (kushoto) akipokea msaada wa maharage kutoka kwa Mkurugenzi wa Oparesheni za Benki ya Twiga Bancorp Richard Kombole (kulia). Benki hiyo imetoa msaada leo wa maharage, mafuta ya kupikia, chumvi na unga wa sembe vyote vikiwa na thamani ya milioni tatu kwa waathirika wa mabomu yaliyolipuka hivi karibuni katika kambi la Jeshi la Gongo la Mboto.
JUU Mkuu wa wilaya ya Ilala Leonidas Gama (kushoto) akipokea msaada wa unga wa sembe kutoka kwa Mkurugenzi wa Oparesheni za Benki ya Twiga Bancorp Richard Kombole (kulia). Benki hiyo imetoa msaada leo wa maharage, mafuta ya kupikia, chumvi na unga wa sembe vyote vikiwa na thamani ya milioni tatu kwa waathirika wa mabomu yaliyolipuka hivi karibuni katika kambi la Jeshi la Gongo la Mboto.
CHINI
Mkuu wa wilaya ya Ilala Leonidas Gama (kushoto) akipokea msaada wa mafuta ya kupikia aina ya Korie kutoka kwa Mkurugenzi wa Oparesheni za Benki ya Twiga Bancorp Richard Kombole (kushoto). Benki hiyo imetoa msaada leo wa maharage, mafuta ya kupikia, chumvi na unga wa sembe vyote vikiwa na thamani ya milioni tatu kwa waathirika wa mabomu yaliyolipuka hivi karibuni katika kambi la Jeshi la Gongo la Mboto.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA ANNA NKINDA-MAELEZO