Adverts

Mar 10, 2011

UZEE DAWA


 Nakukumbuka mzee Mwalembe siku tulipoketi kutengeneza Documentary juu ya masuala ya Jinsia katika kijiji cha Isangati! ulitoa ushirikianao sana!!
 Nakumbuka mapozi yako licha ya "jino moja mswaki wa nini" lakini ulitamka maneno kwa ufasaha kweli
Baadaye ukatutambulisha na wakazi wa eneo la Ikulu yako kisha ukatukaribisha na siku nyingine tena!!!