UZINDUZI WA KITENGO CHA TIBA KWA WATOTO WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MBEYA: "
Makamu wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL akikata utepe kuzindua jengo la kitengo cha tiba kwa ajili ya watoto walioathirika na ugonjwa wa ukimwi uzinduzi huo umefanyika katika majengo ya hospital ya rufaa jijini mbeya 7/3/2011
"