Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Morogoro, Hamisi Selemani akiwa ameshika bunduki aina ya
Glock 40 yenye uwezo wa kuingia risasi 15, ambayo ilitumiwa na majambazi kupora duka la vito lililopo mtaa
wa Lumumba manispaa ya morogoro
Wakazi wa manispaa ya Morogoro wakiwa wamembeba juu juu askari polisi,PC Fanuel Mwawa aliyefanikiwa kumuua mmoja ya majambazi waliofanya tukio la ujambazi mjini Morogoro.Jambazi hilo liliuwawa baada ya mapambano makali ya kurushiana risasi
kati ya polisi na kundi la majambazi.