Adverts

Apr 25, 2011

DOGO JANA SIKUKUU ILIKUWA MBAYA KWA KIPONDO

Dogo huyu aliyefahamika kwa jina la Shaban alichukua kipondo kutoka kwa vijana wenzake katika maeneo ya soko la Ichenjezya Mbozi jana usiku wakati wakigombea mtoto wa kike ambaye alikuwa katika eneo la tukio na kijana huyo kisha kundi lingine likatokea na kumpora huku likimwacha na kipondo!!! umri na mambo yao haviendani kabisaa!!!!!