Adverts

Apr 26, 2011

HUKO BONDENI WATU WAKIZISHIKA WANAZITEKETEZA ZISIWAZOEEE

Hapa ni tarehe 23 mara baada ya kuzikamata mishahara na kila kitu mambo yanakuwa hivi
Baada ya kuzikamata, watu wanaserebuka namna hii kwa ulabuuuweeeeee

 Na akina dada nao wanakuwa mizuka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 Nani kakwambia maisha magumu? tumie pesa zikuzoeeee, lamba ulabu kujenga ni uoga wa maisha babuweeeee
 Baada ya hapo tunazimika kabisaaaaaa hiyo ni tarehe 28
 Tarehe 29 hali inazidi kuwa tete, kiuchumi nako myumbo umeanza......
 Tarehe 01 ya mwezi unaofuata hali inakuwa hivi!!! mtu hana hata nauli ya daladala badala yake unashika mchuma kuzamia!!!!!

Tarehe  zinazofuata hali ni mbaya hakuna kitu ndani wala mfukoni unaanza kulamba nguna kwa kwenda mbele!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

            Shukrani Mdau Ismail Mwilenga kwa kutuma picha hizi kutoka Bondeni!!!!!!!!!!!!