![]() |
Mwenyekiti wa AGRA Kofi Anan akitembelea shamba la mfano katika kijiji cha Lusungo Mbeya vijijini |
![]() |
Akiangalia duka la pambejeo katika kijiji cha Lusungo |
![]() |
Akizungumza na wananchi katika kijiji cha Iyula wilayani Mbozi |
![]() |
Wakiwa katika picha ya pamoja kijiji cha Iyula wilayani Mbozi |
![]() |
Wafanyakazi wa CFNA/TAGMARK wakiwa katika pozi la picha Iyula |
![]() |
Wadau mbalimbali wakipeana mkono na Kofi Anan |
![]() |
Mmoja wa wajumbe wa bodi ya AGRA akiuliza swali kwa muuza pembejeo Iyula |