Baada ya NMB kutoa zawadi kwa kikundi cha Wakulima wa Kahawa cha Mkombozi wilayani Mbozi, vikundi vingine vimeanza kujipanga kwa kasi kubwa kuchukua mikopo kwa benki ya NMB kwaajili ya kukusanya kahawa msimu huu, dalili zinazoonyesha kuwa kutakuwa na ushindani mkubwa wa vikundi katika msimu huu