Wanaume ndiyo zeeetuuu"" ulanzi na sisi -sisi na ulanzi mpaka basi!!!!

Mzee ALDO MBOSA mkazi wa kijiji cha Lugalo mkoani Iringa akiwa anajiandaa kugema ulanzi kwenye shamba lake lililo kando kando mwa barabara ya Iringa -Dar es salaam
Bwana mdogo unataka kuonja?...
Tunagema hivi"""