Adverts

Apr 30, 2011

WATAIFITI WA UWEZO-TEN MET WAMALIZA MAFUNZO YA KIKANDA

Waratibu wa wilaya na wasaidizi wao wakiwa katika mkao wa pamoja kubadilishana mawazo baada ya kurejea kutoka kwenye tafiti zao za majaribio jana, tayari wamemaliza program hizo na kusambaa wilayani kwa ajili ya kufanya utafiti wa uwezo wa watoto wa umri wa kati ya miaka 7-16 katika kujifunza kusoma, kuhesabu na kutambua.