Adverts

May 5, 2011

Balozi wa Misri nchini Tazania Bw. Wael Adel Nasr (kulia) akimkabidhi  mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Said Mwema vifaa vya matibabu na dawa zenye thamani ya dola za Marekani laki tano ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania zaidi ya milioni 700 kusaidia huduma za afya katika hospitali ya jeshi la polisi kikosi cha Afya makao makuu (Kilwa Road)ambayo huhudumia familia za askari na wananchi leo jijini Dar es salaam.


Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Said Mwema(katikati)akishirikiana na Kamishna wa Utawala na Rasilimali wa Jeshi la Polisi - CP Clodwing Mtweve  na Balozi wa Misri nchini Tanzania Bw. Wael Adel Nasr (kushoto) kuimba wimbo wa Maadili ya Afisa wa Jeshi la Polisi leo wakati wa hafla fupi ya kupokea vifaa vya matibabu na dawa kutoka ubalozi wa Misri.