Adverts

May 7, 2011

KILIMO KWANZA ZAO LA KAHAWA WILAYANI MBOZI HOYEEEE

Mtaalamu wa Kilimo Bwana Lanjau akitoa maelezo juu ya namna bora kutumia pembejeo na hasa Mbolea katika kukuza mmea wa Kahawa  na hapo chini ni zana za kupima ubora na muonjo wa Kahawa katika kiwanda cha kukoboa kahawa cha Mbozi MCCO