Adverts

May 22, 2011

MBEYA YAWASHA MISHUMAA KUWAKUMBUKA WAHANGA WA UKIMWI

Padre huyu maarufu kama Mlezi wa vijana pale Youth Centre jijini Mbeya, kwa waliopitia mambo ya YCSC Mapendo mtamkumbuka sana huyu!

Kenny Simbaya Meneja wa Restless for Development shirika lililobadili jina kutoka SPW akizungumza kwenye hafla hiyo

Mratibu wa shughuli za kudhibiti UKIMWI jiji la Mbeya Bwana Mbonile akizoza