Adverts

May 12, 2011

NYUMBA INAPONADIWA NA DALALI KWA HASIRA

Nyumba hii kama inavyoonekana na mabango makubwa/maandishi ya kuuzwa imekutwa wilayani Ileje- kuna kila dalili kuwa dalali amekuwa na usongo sana na fedha za biashara hii kwa kuweka maandishi kwa msisitizo mara mbili yenye ujumbe huo huo