Adverts

May 8, 2011

PONGEZI ZAENDELEA KUMIMINIKA KWA FESTO SIKAGONAMO

Rais Mstaafu wa Tanzania Union of Press Clubs  Ulimboka Mwakilili akimpongeza Bw. Festo Sikagonamo baada ya kutwaa tuzo mbili za uandishi bora wa habari za Mazingira na Malaria kwa mwaka 2011