Adverts

May 24, 2011

TUJIKUMBUSHE YALIYOJIRI KYELA MWAKA 2008

Ajuza huyu akiwa nyumbani kakwe kazungukwa na maji baada  ya kutokea mafuriko wilayani Kyela mwaka 2008

Askari wa Jeshi la Wananchi wakiwa kazini wakati wa ujenzi wa daraja kunusuru Watanzania waliokuwa wamekwama  kutokana na mawasiliano ya barabara kukatika kutoka vijijini mwao kutokana na mafuriko ya 2008 daraja hilo lilisimamiwa na mkuu wa kikosi cha Ujenzi jeshini wakati huo KITENGA

Hivi ndivyo wananchi walivyokuwa wakivuka kuelekea upande wa pili wa mto Kiwira ambapo daraja lililojengwa na jeshi lilipitishwa hapa hapa na sasa  ni mahala salama pa kuvuka.
Picha zote na mdau wa blog hii Rashid Mkwinda