Adverts

May 24, 2011

UMEME UNAPOKUWA KERO KWA JAMII, WAKATI BADO MAWASILIANO YANAHITAJIKA!



Mkazi wa jiji la Mbeya ambaye hakufahamika jina lake alikutwa na mpiga picha wetu katikati ya jiji la Mbeya barabara ya Jakaranda akiwasiliana na jamaa zake kwa kutumia simu ambayo alikuwa ameiunganisha na betri za radio,kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa hasa pembezoni mwa miji ndiyo chanzo cha kubuni njia hii ili kumwezesha aendelee kupata mawasiliano siku hadi siku (Picha na Rashid Mkwinda)