Adverts

May 15, 2011

UTAFITI WAKAMILIKA WILAYANI ILEJE

Baadhi ya zana za Utafiti wa tathmini ya uwezo wa  watoto wa umri wa kwenda shule (7-16) kusoma, kuandika na kusoma kingereza uliofanyika wilayani Ileje hivi karibuni


Mmoja wa vijana wa kujitolea aliyefanya utafiti huo akikabidhiwa cheti baada ya kuwasilisha taarifa ya Utafiti kwa Msaidizi wa zoezi la Utafiti wilayani Ileje bwana George Kibona.